Akipokea CHETI CHAKE baada ya kumaliza kidato cha nne,mbele ya Wakuu wa shule ndani ya vazi la joho.MUNGU AKUZIDISHIE NA AKUONGOZE KATIKA MASOMO YAKO
Picha ya pamoja,kutoka kushoto baba yake kipenzi(ISMAIL.J.BITEGEKO) pamoja na kaka yake FUNDI(YUSUPH BITEGEKO).
Dada yake kipenzi AISHA KAYEKO naye hakuwa nyuma,akimbariki kwa kumvisha SHAHADA la UPENDO kwa pamoja na FUNDI(YUSUPH BITEGEKO).Shukrani baba kwa malezi bora kwa kumlea katika maadili na kumsomesha mpaka hapa alipofika..Ubarikiwe na Mungu akuzidishie. ALL WAY FROM BUKOBA:JUMANNE BITEGEKO JR. alikuwepo kuhakikisha mdogo wake anakuwa sawa na sherehe inasimama kama ilivyo hada,uwepo wa mzee BITEGEKO ulikuwa hauna budi '(HAPA AKIVALISHWA KOFIA NA MAMA YETU,NGAO KUBWA YA KWA NINI TUNA MTU KAMA ABDULRAZACK LEO,MAMA YETU KIPENZI MRS.BITEGEKO
No comments:
Post a Comment