Thursday, December 20, 2012

MAN UTD VS MADRID;MAKUNDI UEFA HATUA YA 16 BORA YAPANGWA

      HATUA YA 16 BORA UEFA YAPANGWA
Hatimaye hatua ya kumi na sita bora makundi imepangwa leo Nyon na kuleta msisimko mkubwa kwa wapenzi wa kandanda duniani baada ya timu kumi na sita kutoka nchi mbalimbali barani ulaya zilizo chini ya wigo wa UEFA kufanikiwa kupita katika ile hatua ya makundi iliyokuwa awali ambapo leo ndo imeidhinisha hatua inayofuata kwa kupanga nini kitaendelea katika hatua inayofuata ambapo fainali zake za safari hii zitafanyika kwa mara nyingine jijini London katika uwanja wa WEMBLEY kama ilivyokuwa ada kwa mwaka 2010 ambapo mara ya mwisho zinafanyika hapo Barcelona alichukua baada ya kumfunga Man u bao tatu kwa moja.
Ikumbukwe kwamba baada ya hatua ya awali kuisha bingwa mtetezi Chelsea alitoka hivyo kushindwa kulitetea taji lake baada ya kushindwa kufurukuta mbele ya kibibi kizee cha Turin,Juventus na Shakhtar Donesk.Timu kumi na mbili zilizofanikiwa kufuzu hatua hii ni FC BAYERN MUNICH,ARSENAL,FC BARCELONA,AC MILLAN,REAL MADRID,PSG,PORTO,GARATASARAY,SCHALKE 04,SHAKHTAR DONESK,VALENCIA,CELTIC,BORUSSIA DORTMUND,MALAGA NA MAN UTD.
 
MAKUNDI HAYO NI>
yatapigwa 2013,FEB 12 na 13
.VALENCIA VS .SCHALKE 04
.CELTIC VS .JUVENTUS
.ARSENAL VS B.MUNICH
. S.DONETSK VS .B.DORTMUND
.AC MILLAN VS .BARCELONA
.VALENCIA VS .PSG
.PORTO VS .MALAGA
.REAL MADRID VS .MAN UTD
HATUA YA 16 BORA
.REAL MADRID VS MAN UTD;
 
 
Ni moja ya mechi inayotazamiwa kuwa na ushindani mkubwa hasa hizi timu kuwa na rekodi nzuri UEFA ikiwa Madrid kachukua mara tisa na Man utd mara tatu mara ya mwisho ikiwa 2008 jijini Moscow ambapo walimfunga Chelsea.Mara ya mwisho zilikutana mwaka 2002 jijini Manchester, Old Trafford na Man u alitoka baada ya mpira kuisha MAN U(4.Van Nisterooy 42',Helguera(OG 52'),Beckham 72') huku misumali ya Madrid akishindilia Ronaldo bao zote tatu(12',50' na 59)na kusababisha aggregate kuwa (5-6)baada ya game ya kwanza Santiago kuisha Madrid 3 Man u 1.
Mchezo huu unazidi kuwa wa kusisimua kutokan na utampa fursa mchezaji na aliyekuwa tegemeo mreno Christiano Ronaldo kurudi kwenye uwanja wa nyumbani na sehemu ambapo wanamhusudu sana na kumpenda,JE RONALDO ATAIKANDAMIZA MAN U KAMA ALIVYOWAFANYIA SPORTING LISBON 2008?tusubili
Pia ni ujio wa kocha mreno mwenye mbwembwe nyingi anayetarajiwa kurithi mikoba ya Ferg Old Trafford,Jose Mourinho ambaye kwa mara nyingine kukutana na Ferguson baada ya mara mwisho kutolewa na babu Ferg kipindi yuko na INTER,ni moja ya mchezo wenye msisimko saana.  
 
 
 
 
 
 
 

No comments:

Post a Comment