Tupo barabara iendayo uwanja wa michezo wa CCM KIRUMBA mkabara na LA KAIRO HOTEL,Kwa mawasiliano zaidi piga;0784944601
0767944602
0655944601
Katika ile hali ya kuhakikisha mkoa wa Mwanza unakuwa kimbilio la kila mgeni atembeleaye mje huu,Lodge mpya na ya kisasa kabisa imefunguliwa maeneo ya Kirumba wilaya ya Ilemela jijini Mwanza,ni I.J.B Executive Lodge inatoa huduma hai na ya kuridhisha ya hali ya juu ambapo inatoa huduma ya kulala yaani GUEST HOSPITALITY,nyumba ya kulala wageni.
I.J.B Executive Lodge ni SELF CONTAINED na gharama yake ni nafuu kabisa kiasi cha kumjali mteja kwani bei ni nafuu na mtu yeyote anaweza kuikimu,Wahudumu ni wakarimu na wamejitolea kwa ajili ya huduma ili kuhakika lodge inakuwa ya tofauti sana na lodge za mjini hapa kwa kusimamia usafi na ulinzi wa asilimia mia kabisa hivyo kumfanya mteja kujisikia nyumbani,kuishi bila na amani na kutamani kuendelea kuepo na sisi.
Tunawajali wateja wetu ndo maana huduma zetu ni thabiti kabisa KARIBUNI SANA
tuna mengi ya kukupa ndo maana tupo kwa ajili yako.
Ili usiboreke vyumba vina huduma ya Television katika kuhakikisha haujutii kuichagua I.J.B Executive Lodge,karibuni saanaa
Kwa utunzaji salama wa vitu vyako
TUPO NAWE KWA USALAMA WAKO
Usafi ni kila sehemu na zaidi tukikamilisha dhana yetu kuwa lodge yenye ubora wa hali ya juu
Mteja wetu wa karibu
Zaidi tunamjali na kuwa naye pamoja mteja wetu.
KARIBUNI SAANA
No comments:
Post a Comment