DI MARIA OUT EL CLASSICO.
Kadi aliyopewa mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya soka ya Real Madrid Angel di Maria katika mchezo wa ligi kuu ya Hispania dhidi ya Deportivo La Coruna itamfanya aukose mchezo wa marudiano wa El Classico unaotazamiwa kupigwa hapo kesho jijini Madrid.
Hali hii inaibuka baada ya Madrid kuwa na saikolojia nzuri baada ya kuwatoa wapinzani na mahasimu wao wa jadi Barcelona juzi kwenye kombe la mfalme yaani COPA DE LEY kwa magoli matatu kwa moja.kadi hiyo itamlazimu kocha Jose Mourinho kutafuta mbadala wa Angel di Maria ambapo yaeza akamsogeza Mesut Ozil kushoto au la tusubili hapo kesho.
No comments:
Post a Comment