MATUKIO YA KUFUNGA MAFUNZO YA JKT KWA VIONGOZI
Wakiwa kwenye paredi ya kumaliza mafunzo ya JKT.
Mh. Zitto kabwe Mbunge wa Kigoma Kaskazini, akiapa wakati wa kumaliza mafunzo ya Jkt.
Mbunge wa BiharamuLo Dk Athanas Mbassa akiapa wakati wa kumaliza mafunzo ya JKT |
Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya pamoja na wenzao wakila kiapo wakati wa kuhitimu mafunzo ya muda mfupi yaliyofanyika katika kambi ya jeshi la Kujenga Taifa Ruvu JKT huko kibaha Mkoani Pwani
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe, akipokea cheti cha kuhitimu mafunzo ya muda mfupi kwa viongozi kutoka kwa kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga Muhindo Rweyemamu wakati wakimaliza mafunzo ya JKT kwa siku ya jana.
No comments:
Post a Comment