Bitteview

POOR BILLIONAIRE

Pages

  • Home
  • SIASA
  • UCHUMI
  • JAMII-UTAMADUNI
  • MIKASA-RIWAYA
  • MICHEZO-BURUDANI

Thursday, April 11, 2013

MWANAMKE ANAYEOTA NDEVU NYINGI KULKO HATA WANAUME PENGINE

           MWANAMKE MWENYE NDEVU KAMA MWANAUME 
                                                                     
Mariam,mwanamke aliyezaliwa nchini Ujerumani amepatwa na mkasa wa kuota ndevu nyingi kama mwanaume.Awali alikuwa akiziondoa ndevu hizo kwa njia mbalimbali lakini ilipofika mwaka 2008 aliamua kuachana na vifaa vyote vya kuondolea ndevu na kuacha ndevu hizo zikue ambapo kwa madai yake,baada ya kuziachia ndevu hizo anajisikia kujiamini zaidi kuliko kipindi alichokuwa akiziondoa.Tatizo hilo la kuota ndevu mithili ya mwanaume alilipata miaka 28 iliyopita mara tu baada ya kujifugua mtoto wake wa kwanza.Majaribio mbalimbali ya kimaabara yamefanyika ili kuona ni sababu zipi zinazomfanya mwanamke huyo kuota ndevu nyingi kiasi hicho lakini mapaka sasa hakuna kilichogundulika.

Posted by Unknown at 9:30 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Followers

Powered By Blogger

About Me

Unknown
View my complete profile

B

Popular Posts

  • SAMATA MATUKIO KUMI YA PICHA
               MBWANA ALLY SAMAT A                                                  Samata wanne k utoka kushoto kati ya wale walosim...
  • GESTI BUBU YA MBAGALA
    watuhumiwa wakiwa chini ya ulinzi wa wananchi SIKU  chache baada ya kuibua danguro la vigogo maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaa...
  • MATCH LIVE TAIFA STARS VS MOROCO
       FUATILIA UPDATES ZA MEC HI HAPA                                                        
  • SAMATA AWAKUBALI DOMAYO NA SURE BOY
    SAMATA ANENA JUU YA DOMAYO NA SURE BOY.                            SALUM Abubakari na Frank Domayo ni wachezaji ambao wameleta mapin...
  • MAN UTD VS MADRID;MAKUNDI UEFA HATUA YA 16 BORA YAPANGWA
          HATUA YA 16 BORA UEFA YAPANGWA Hatimaye hatua ya kumi na sita bora makundi imepangwa leo Nyon na kuleta msisimko mkubwa kwa wapenz...
  • KIJANA ALIYEKATWA MKONO NA MGUU KISA BIASHARA HARAMU YA MADAWA YA KULEVYA
    KIJANA ALIYEKATWA MIGUU NA MIKON O KISA BIASHARA HARAMU YA MADAWA;                                UKIMUONA kwa mara ya kwanza ni vigumu...
  • EXCLUSIVE INTERVIEW NA ABDULHARIM HUMUD GAUCHO
      INTERVIEW NA HUMUD ABDULHARIM GAUCHO                                                                  BITTEVIEW; JINA LAKO HALISI WAIT...
  • MTOTO MWENYE SURA YA AJABU,MUNGU AMNUSURU
  • SABRI ISMAIL:MAHAFALI YA KUMALIZA DARASA LA SABA
    SABRI ISMAIL J. BITEGEKO.Tarehe 23/09/2012 akisherehekea mahafali yake baada ya kuhitimu darasa la saba shule ya msingi ROCKEN HILL ACADEM...
  • VIDEO JOINT CLIMAX BIBO-GHETTO BOY

Translate

Total Pageviews

29686
Watermark theme. Powered by Blogger.