SHUKRANI ZANGU KWENU
ANDERLEK RIDGES SECONDARY SCHOOL.
Shukrani za dhati kwa Mwenyezimungu kwa kuniwezesha mpaka leo kuwa hapa namshukuru sana kwa kunipa afya njema na nguvu mpaka hatua hii nliofikia kwani ni majuzi tu nimetoka kupata cheti baada ya kufanikiwa kuhitimu elimu yangu ya kidato cha sita,Pongezi kubwa kwa familia yangu maana wamekuwa kipaumbele kunisisitiza na hata kunipa moyo kipindi chote cha elimu yangu tangu naanza nursery case mpaka namaliza,baba hususani MR.ISMAIL BITEGEKO salute you dadddy,mama MAMA MWENYEKITI ASHA ALLEY mwanasiasa wangu unayenivutia sana niingie katika tathnia hiyo na familia yote(Mwajua,Jay 4,Ahmed,Yusuph,Abdulrazack,Asha mwanasonda na tazania one himself Sabri Bitegeko)mmekuwa sababu kwa nini mimi naitwa ABDULWAHID na kwa nini leo nimepiga hatua hii ndogo katika maisha, kwa ujumla sina cha kuwapa zaidi tu nawapenda sana na Mungu ndo mwenye kujua atawalipa vipi fadhila zenu simply NAWAPENDA SANA.Vilevile ntakuwa mchoyo wa fadhila kama nsipowashukuru rafiki zangu wa karibu na wa dhati kabisa,ALLAN,SIDE,MACKENZIE,CHUSE,DENIS,GULAM,MASUI,Chollo,Shinuna,Kyumbi d,Vermalen,Jose,Feyswally,Morani na wanafunzi wote tuliomaliza Anderlek Ridges High School 2012/2013 jamani nawapenda sana kwani bila nyie nsingekuwa hapa nilipo,Vilevile uongozi mzima wa shule tukianza na baba angu ALEX KAZIMIL na dhati walimu wangu walonifundisha MR.ADAM,MR.JAPHARY,MR.DOTTO,MR.MATIKO,MR.NZUMBI,rafiki yangu MR.DOTTO na kaka angu kipenzi MR.RICH kwa pamoja Mungu awajalie sana na sana.ONE LOVE ONE NATION....pia siwezi wasahau wanafunzi wote wa Anderlek kwa ujumla wadogo zangu tuliishi kwa upendo japo mara moja mbili tulikwaruzana lakini bado maisha yalienda na tukaishi kwa imani ya MSAMAHA Nawapenda na siku zote ntawakumbuka nawatakieni maisha marefu,masomo mema na uwepo wa amani nyumbani kwetu Anderlek Ridges especially wadogo zangu Mseti,Reuben Fungo much love brothers ,Pamoja tuamke tukajenge taifa BORN AT ROCKEN HILL raised at ANDERLEK
No comments:
Post a Comment