Tuesday, December 18, 2012

REAL MADRID NA ESPANYOL HAKUNA MBABE BERNABEU


Alikuwa ni Fabio Coentrao na maestro Christiano Ronaldo waloirudisha madrid mchezoni baada ya magoli mawili ya Espanyol ya  Garcia na Juan Albin mechi ilochezwa Jumapili majira ya 18.00 uk tarehe 16/12/2012.kinyume na matarajio ya wengi labda Madrid ingehangaika kutafuta pointi tatu muhimu kufuatia wingi wa pointi wanazozidiwa na mahasimu wao wakubwa Barcelona na ikumbukwe kwamba Espanyol ni timu inayotoka jiji moja na Barca,maji yalikuwa shingoni na mpaka filimbi ya mwisho inalia ilikuwa hakuna mbabe kitu ambacho kinampa wakati mgumu kocha wa Madrid Jose Mourinho ambaye bado ana nia ya kuendelea kutetea taji la ubingwa wa La Liga.  
                  Real Madrid starting line up:CASILLAS,ARBELOA,PEPE,RAMOS,COENTRAO,ALONSO,KHEDIRA,OZIL,MODRIC,CALLEJON,RONALDO
 Espanyol;CASSILA,VICTOR SANCHEZ,FORLIN,SERGIO,VERDU,MORENO,JAVI LOPEZ,COLOTTO,SIMAO,WAKASO,VICTOR SANCHEZ

                                                             RONALDO.C
                                                             



No comments:

Post a Comment