MESSI ATIMIZA MABAO 90 HUKU BARCA IKIIANGAMIZA ATLETICO MADRID
Wakiendelea kujikita kileleni mwa ligi ya la liga kwa tofauti ya pointi 13 na mahasimu wao Real Madrid kufuatia ushindi mnono wa magoli manne(4) kwa moja(1) dhidi ya Atletico Madrid ikiwa inashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu ya Hispania baada ya kujikusanyia pointi 37,pointi tisa(9)nyuma ya Barca.Alikuwa ni mshambulia wa kimataifa wa Colombia RADAMEL FALCAO aliyeipa Atletico bao la kuongoza dakika ya 31,Bao lilodumu hadi dakika ya 36 ambapo ADRIANO alipoisawazishia Barca na baadaye BOSQUETS dakika ya 45 na MESSI dakika ya 57 na 88 Kumfanya winga huyu machachari toka Argentina kutimiza jumla ya mabao 90 ndan ya mwaka mmoja.
MESSI NA FALCAO
Sergio Bosquets akishangilia goli alolifunga dakika ya 45 ya mchezo mbele ya Carles Puyol na fundi Andres Iniesta.moja ya viungo bora naowakubali saana.
BARCA;Valdes,Adriano,Pique,Puyol,Alba,Bosquets,Xavi,Iniesta,Alexis Sanchez,Messi,Pedro
A.MADRID:Courtois,Juanfran,Miranda,Godin,Filipe,Luis,Koke,Mario,Suarez,Gabi,Arda,Diego,Costa,Falcao.
No comments:
Post a Comment