SIMBA CHALI TAIFA,YAPIGWA KIDUDE NA MTIBWA.
Leo timu ya Simba ya jijini Dar es salaam imeendeleza wimbi la matokeo mabovu ndani ya ligi kuu ya Tanzania bara katika wa pili na wa mwisho wa ligi kuu hiyo ya vodacom.
Bao pekee la Mtibwa liliwekwa kimiani na beki Salvatory Ntebe ndani ya dakika ya 16 lilodumu hadi filimbi ya mwisho ya mwamuzi ilipolia.
kIKOSI CHA MTIBWA
Kikosi cha Simba
Amry Kiemba wa simba akichuana vikali na captain wa Mtibwa Shaaban Nditi.
Benchi la Ufundi la Simba.
Kocha wa Simba Patrick Liewig akitoka nje baada ya mpira kuisha
Waamuzi wakitoka nje baada ya kuidhinisha mchezo huo.
No comments:
Post a Comment