Ngwea hakuonekana kumjibu ila aliendelea kuandika kile alichokuwa kikiendelea katika akili yake
Ngwea ameamua ku drop charges, baada ya kufikiria na kuona bora amove on, na maisha yake
"mi nimesha withdraw na nimeamua kumove on, ni kukaa mbali nae tu" amesema Ngwea(Habari kwa hisani ya djfetty.blog)
No comments:
Post a Comment