TAARIFA YA MSIBA
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Chambani mheshimiwa Salim Hemed Hamisi amefariki dunia leo na taratibu zinafanyika za kusafirisha mwili wake kwenda kwao Pemba kwa mazishi.Blogu ya Bitteview inatoa pole kwa wale wote walofikwa na msiba huu
No comments:
Post a Comment