Saturday, April 6, 2013

AZAM YAFUZU 16 BORA SASA KUMENYANA NA WAMOROCO

AZAM KUMENYAMA NA RABAT YA MOROCO



Kipre Tchetche wa Azam FC, akimtoka Prince Jetoh wa Barrack Young Controllers kwenye mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika uliochezwa uwanja wa Taifa leo ambao uliisha kwa sare ya 0-0. Azam FC wamepita kuendelea mbele kutokana na ushindi wao 2-1 waliopata huko Liberia wiki mbili zilizopita. (PICHA KWA HISANI YA LENZI YA MICHEZO BLOG)

No comments:

Post a Comment