Thursday, April 11, 2013

ONA MAAJABU YA MTOTO WA VAN DER SAR AMBAYE NI GOLKIPA PIA

    MTOTO WA NYOKA NI NYOKA
Mtoto huyu ambaye amekuwa akifanya mazoezi na Man United tangu msimu uliopita amesajiliwa na academy ya watoto ya Ajax ambapo kuanzia msimu ujao atakuwa akiichezea.
Mtoto huyo anayeitwa Edwin Van der sar Jr.amekuwa akiifufua na kuiendeleza nyota ya baba ake ambaye pia aliwahi kukipiga Ajax na baadaye kustaafia Man United...

No comments:

Post a Comment