MOYES ASIMAMA MACHI
Kocha huyu raia wa Scotland ambaye amekuwa akiifundisha Everton kwa kipindi kirefu sasa na kuipa klabu hiyo hadhi fulani kwenye ligi kuu ya Uingereza ikifuatia hali ya ushindani iliyopo kwenye ligi hiyo.
Kumekuwa na habari zisizo rasmi ambazo zimekuwa zikimuhusisha na kuhamia klabu kubwa kama Manchester United na Schalke 04 ya Ujerumani,hii ni kutokana na kuisimamia Everton kwa kipindi kirefu bila timu hiyo kushuka daraja.
No comments:
Post a Comment