Friday, April 5, 2013

JAN VERTONGHEN AWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI MACHI

 VERTONGHEN ASIMAMIA MWEZI MACHI
                                                                     
Mchezaji huyu wa timu ya taifa ya Ubelgiji na klabu ya jijini London Tottenham Hotspour ambaye amesajiliwa kutoka Ajax Amsterdam ya Uholanzi amekuwa na msimu mzuri kufuatia tangu alipowasili kwenye kosi hilo la Andre Villa Boas mapema baada ya msimu wa dirisha dogo Januari.
Jen Vertonghen amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi baada ya kuperform vizuri mwezi huu ikifuatiwa kwamba amefunga magoli matatu mwezi huu akiwa kama beki wa kati,atakuwa akiungana na Gareth Bale na kocha wao Andre Villa Boas walochaguliwa kama mchezaji na kocha bora ndani ya mwaka huu

No comments:

Post a Comment