Mabao matatu yaliowekwa kimiani na kiungo toka Hispania Sant Carzola na goli la Podolisk pamoja na Theo Walcot yalitosha kuwadhibu Reading mabao matano.
Alianza Lucas Podolski mapema kabisa dakika ya 14 baadaye Sant Carzola dakika ya 32 tena 34' na tena 60' dakika sita baadaye Le FONDRE aliamka na kuwapa Reading kifutia machozi dakika 66' na teena Reading wakapata goli lingine dakika ya71' kupitia kwa Kebe na mwisho winga wa kiingereza Theo Walcott alikandamiza msumali wa mwisho dakika ya 80.

Carzola akishangilia goli lake pamoja na Jack Wilshere na Alex Oxlade Chamberlain

Mfungaji wa goli la kwanza Lucas Podolski10
CARZOLA

Theo Walcott dakika ya 81 akishangilia b aada ya kufunga goli
ARSENAL LINEUP;SZCZESNY,SAGNA,MERTESACKER,VERMALEN,GIBBS,ARTETA,WILSHERE,WALCOTT(GIROUD G,85)
READING;FEDERICI,SHOREY,MARIAPPA,GORKSS,CUMMINGS,LEIGERTWOOD,MCANUFF,KEBE,TABB.POGREBNYAK,HUNT
No comments:
Post a Comment