Tuesday, December 18, 2012

MADRID WAKISHEREHEKA BAADA YA DRAW NA ESPANYOL

Kocha wa Real Madrid ya Hispania The SPECIAL ONE,"JOSE MOURINHO"akiwa na viongozi wa timu katika hafla maalumu iloandaliwa kwa ajili ya wachezaji wa timu hiyo huko jijini Madrid. 
Timu captain wa Madrid"Saint IKER CASILLAS" alipewa nafasi ya kukaa meza moja na kocha wake pamoja na viongozi wakuu wa timu wakibadilishana mawili matatu(picha kwa hisani ya REAL MADRID.COM)
 Marcelo Junior ambaye ni majerui kwa sasa akiuguza guu lake la kulia akiwa na Gonzalo Higuain.
Ronaldo,Coentrao,Pepe,Cavalho.......
hongera kijana....Angel Di Maria
Gonzalo Higuain and Xabi Alonso

No comments:

Post a Comment