Wednesday, December 19, 2012

TITO VILANOVA AACHIA NGAZI BARCA

                  VILANOVA BASI TENA
                                                   

Stepping down: Barcelona coach Tito Vilanova has suffered a relapse of a tumor he had removed last November
Kocha wa  Barcelona Tito Vilanova anajiandaa kuachia ngazi kutoka kwenye nafasi yake ya ukocha wa Barca baada ya kurudia kuugua ugonjwa uliokuwa unamsumbua wa tezi kwenye mdomo ambalo alifanyiwa upasuaji mwaka uliopita.
Kocha huyo mwenye miaka 44 alifanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe/tezi hilo mwezi November 2011 wakati alipokuwa kocha msaidizi wa klabu hiyo.
Alichukua majukumu ya kuwa kocha mkuu wa Barcelona baada ya Pep Guardiola kuachia ngazi na Vilanova akasaini mkataba wa miaka miwili.

Barcelona wametangaza kusitisha shamra shamra za sikukuu ya Krismas huku wakiwa kwenye mchakato wa kumtafuta mbadala wa Tito

Successor: Vilanova replaced Pep Guardiola (right) as Barcelona manager in the summer

No comments:

Post a Comment